Wednesday, August 24, 2011

Usalama wa Taifa uvunjwe, umeshindwa majukumu

TUNALAZIMIKA leo kutamka pasipo kutafuna maneno kwamba, matatizo makubwa yaliyoikumba nchi yetu katika miezi ya hivi karibuni yasingetokea au yasingeleta madhara makubwa iwapo Usalama wa Taifa (Tanzania Intelligence & Security Service = TISS) ungetimiza wajibu wake kwa uadilifu na weledi. Sote ni mashahidi wa majanga mbalimbali yaliyoisibu na yanayoendelea kuisibu nchi yetu kiasi cha kuibua maswali kuhusu uwajibikaji wa Usalama wa Taifa katika kulinda maslahi ya Taifa letu.


Bofya na soma zaidi>>>>>
 

No comments: