Monday, September 26, 2011

Makamu wa Rais Dakt.Mohammed Gharib Bilal alipokutana na Watanzania, Jumapili 25 Septemba 2011, Dragarbrunnsgatan 23, 75320, UPPSALA, SWEDEN.


Dr. Bilal akizungumza na Watanzania. Kulia ni balozi wa Tanzania kwenye nchini za Nordic (Norway, Sweden, Denmark, Finland, Visiwa vya Faeroe) na nchi za Baltics (Latvia, Estonia na Lithuenia); Balozi Muhammed Mwinyi Mzale)

Dr. Bilal akizungumza na Watanzania, kushoto ni kiongozi wa Jumuiya ya Watanzania nchini Sweden, Profesa; Abdulaziz Lodhi wa Chuo Kikuu cha Uppsala, nchini Sweden.

Dr. Bilal akipiga picha na baadhi ya Watanzania, baada ya kuzungumza nao.

Dr. Bilal akipokea zawadi kutoka kwa Miss Africa Scandinavia 2010/2011; Miss Michelle Jeng. Picha na Muhidin Sufiani.


No comments: