Tuesday, September 13, 2011

Matokeo Manispaa ya Asker, mkoa wa Akershus


Joel Ene Olawunmi wa SV ndiye pekee atakayekiwakilisha chama hicho kwenye serikali ya Manispaa ya Asker. Høyre wamekuwa washindi wamepata asilimia 52 ya kura zote, Arbeiderparti wamepata 20%. Hivyo Manispaa ya Asker inabaki mikononi mwa Høyre.

No comments: