Friday, September 09, 2011

Kikwete, Wikileaks na suti za Mwarabu!


KAMA kuna wakati nimefurahia maelezo ya Ikulu, ni yale ya kina yaliyotolewa juzi (Jumatatu) ya kukanusha habari zilizoripotiwa na mtandao wa Wikileaks zilizodai kuwa Rais Kikwete, alipokuwa waziri na mgombea urais wa CCM, alinunuliwa nguo za suti huko London na mfanyabiashara  Ali Albwardy wa Falme za Kiarabu. Maelezo hayo, yenye lugha kali, yalijaribu kuwashawishi Watanzania - lakini naamini yaliandikwa kwa ajili ya watu wa nje zaidi - kuwa taarifa za Wikileak hazikuwa na ukweli wowote…..bofya na soma zaidi>>>>>>

No comments: