Monday, October 10, 2011

Morocco 3 -1 Tanzania

Matumaini ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa mara ya pili, ikiwa ni tangu mwaka 1980 yalizimwa rasmi jana, kwenye Uwanja wa Grand jijini Marrakech, baada ya kupata kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa wenyeji wao Morocco katika mtanange wa kundi D.Taifa Stars


Kichwa cha mwendawazimu:
- Kupiga pasi shida
- Possession zero
- Butua butua 190%
- Rafu za kijinga 200%
- Formation type- gombe sugu
- Kocha ni wazi mchovu.....

Yaani mechi hii utafikiri ni timu ya daraja la 4 inacheza na ya ligi kuu.

Tumefungwa 3-1 na ni wazi kuna mapungufu ya kiufundi. Yaani faulo nyingine ni vigumu kuamini, na goli la pili ilikuwa faulo pia nje ya 18, na walioweka ukuta wote walikuwa wafupi so mpigaji hakupata shida kuchagua angle ..Toka kwa Mdau hakutaka jina liwepo!No comments: