Mtanzania atia saini na timu ya Djurgården
Kijana
wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 18, Adam Kasa ametia saini na timu moja
kubwa nchini Sweden ya Djurgården. Bofya na soma zaidi www.dif.se
Adam Kasa (miaka 18), kijana mwenye asili ya Kitanzania
Adam akitia saini mkataba
Adam akiwa kwenye tizi.
No comments:
Post a Comment