Wednesday, October 12, 2011

Norway

Inasadikiwa Evans (1) alifariki kwa uzembe wa hospitali ya Ahus.

Hevder Evans (1) døde etter sykehussvikt





Mtoto Evans ambaye alizikwa Machi Mosi mwaka huu, kifo chake kilisababishwa na uzembe wa baadhi ya wahudumu na madaktari wa hospitali ya Akershus Universitetssyekhus (Ahus) iliyopo Lørenskog, mkoa wa Akershus. Hospitali wamekubali kuwa kulikuwa na uzembe wakati Evans alipokuwa amelazwa Ahus. Kesi iko mikononi mwa bodi ya afya ya taifa kwa uchunguzi zaidi.


Martha Wangui Kiiru (27) claims her one year old son Evans lost his life in February 2011 due to negligence and poor treatment by the medical staff at the Akershus University Hospital (Ahus). She claims the hospital did not take care of her son despite his bad condition from the time of arrival at the hospital to the time he died. "Am hurt and feel much sorrow for what happened to my child" says Martha who is originally from Kenya. The hospital admits in a report that there is a possibility that some procedures were not followed as stipulated. The case has been submitted for further investigation by the state health board.

Habari za TV2
Ett år gamle Evans ble lagt inn på Ahus fordi han ikke tok til seg næring. I løpet av en helg ble han alvorlig syk. Men ingen på sykehuset fanget ham opp, og den lille gutten døde…

Bofya na soma zaidi>>>>> (kwa Kinorwejiani)

No comments: