Saturday, October 22, 2011

Ziona (67) ana wake 39, watoto 94 lakini
bado anatafuta mke wa 40
Ziona Chana ni Mhindi ana miaka 67. Ni mkazi wa jimbo la Mizoram, lililoko kati la Bangladesh na Burma. Akiwa na miaka 17, alioa mke wa kwanza. Tokea hapo akawa anaoa na sasa hivi ana wake 39 na anatafuta mke wa 40.


No comments: