Wednesday, December 14, 2011

Je, hili linafaa kuwa vazi la taifa kwa wanaume?


Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano kwenye wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa; Bw. Assah Ambwene akiwa kwenye la Chou En Lai (Chunlai) lenye rangi za bendera ya taifa. Juhudi za binafsi za Ambwene kwenye mkakati wa kutafuta vazi la taifa.
 

No comments: