Saturday, December 10, 2011

Jana uwanja wa Uhuru kwenye kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Mainland
maonyesho ya vikosi vya ulinzi na usalama.

Mara baada Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete kukagua vikosi vya ulinzi na usalama na vikosi hivyo kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu, kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana kwenye uwanja wa Uhuru, yalifuatia maenyesho ya vifaa vya kijeshi vlivyoonyeshwa na Jeshi la Wanachi wa Tanzani (JWTZ), ambapo askari wa hilo wakiwa wakakamavu, walipita na kuonyesha vifaa vya kivita vya JWTZ.
Gari hili limetengenezwa na kiwanda cha Nyumbu kinachomilikiwa na JWTZGari hili limetengenezwa na kiwanda cha Nyumbu kinachomilikiwa na JWTZ
2 comments:

Anonymous said...

haya magari yaliyotengezwa na NYUMBU mbona hatuyaoni kwenye biashara za kimataifa ??? au walikopi????????????

Mti mkavu said...

Nyumbu ni kiwanda kinachomilikiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) hivyo kinatengeza vifaa kwa ajili ya JWTZ tu. Labda si bora kwa viwango vya kimataifa lakini vinakidhi kiasi matakwa ya JWTZ