Kampuni
ya magari ya SAAB kujitangaza muflisi
Kampuni ya magari ya SAAB ya Sweden
iko katika hali mbaya kiuchumi kiasi
ambacho haina hela za kuwalipa mishahara wafanyakazi wake na kwenye taarifa kwa
waandishi wa habari imesema kuwa itajitangaza kuwa iko muflisi.
No comments:
Post a Comment