Saturday, January 28, 2012

Rais Jakaya Kikwete akiwa Davos, Uswiss


Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Bill Gates, Mwenyekiti wa Bill & Melinda Gates Foundation wakiwa kwenye kongamano la Uchumi Duniani, mjini Davos, Uswiss. Picha na Ikulu.

Rais Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Australia, Bw. Kevin Rudd, mjini Davos.

Rais Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu wa Thailand, Bi. Yingluck Shinawatra, mjini Davos.

Rais Kikwete akiteta na Waziri Mkuu wa Uingereza, Bw. David Cameron.

Rais Kikwete akizungumza na Rais na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Walmart, Bw. Doug McMillon mjini Davos.

Rais Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu wa Kenya, Bw. Raila Odinga mjini Davos.

 Rais Kikwete akizungumza na Bi. Sadako Ogata, Rais wa Shirika la Misaada na Maendeleo la Japan, mjini Davos. 

Picha zote na Ikulu.

No comments: