Monday, January 09, 2012

Rais wa Guinea Bissau Afariki DuniaRais Malam Bacai Sanha wa Guinea Bissau amefariki mjini Paris leo asubuhi, alikokuwa ameenda kwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Malam amefariki akiwa na umri wa miaka 64. Rais Malam alichaguliwa mwaka 2009 baada ya miaka ya machafuko na mapinduzi nchini humo. 

No comments: