Historia katika picha:
Baadhi ya viongozi wa Tanzania.
Unawatambua? Wataje!
Siyo siri wengine siwafahamu ila ninaweza kujitahidi
kwa kusema namwona Hayati Edward Moringe Sokoine (wa nne ukihesabu toka kulia,
mbele, shati jeupe na suruali nyeusi) kisha Hayati Julius Kambarage Nyerere (wa
sita, mbele, toka kushoto), Hayati Rashid Mfaume Kawawa (suti nyeupe, wa tatu
ukihesabu toka kulia mwa skrini, suti nyeupe), halafu Ndugu David Cleopa Msuya
(wa pili toka kulia) haya, naomba niambieni kama wanaokenaka Aboud Jumbe,
Salmin Amour, Dkt. Salim Ahmed Salim... kisha wengine ambao kabisa siwafahamu,
ni akina nani?
Source: http://www.wavuti.com (Da´Subi, picha ya chini anaulizia)
2 comments:
Mstari wa mbele kulia kabisa ni Kingunge Ngombale Mwiru
safu ya mwisho, kushoto ni Mohammed Hatibu
Post a Comment