Thursday, February 16, 2012

Promota Tapeli


NAOMBA WASANII KUWENI MAKINI NA JAMAA HUYU KWA JINA ANAITWA SUNDAY  AU ITTINIZZI KUZITALA AU JINA LA KAMPUNI YAKE FEKI INAITWA 4X-ENTERTAINMENT EVENT,YUPO AMSTERDAM HOLLAND KAZI YAKE ANAINGIA MIKATABA NA WASANII ALAFU MWISHO WA SHOO HAKULIPI ATA SHILINGI NA ANAKUKIMBIA NA ANAKUZIMIA SIMU, TABIA HII IMEKUWA AKIENDELEZA KWA KUWAFANYIA WASANII KADHAA.UYU JAMAA ALIENDA KIMASOMO PALE HOLLAND NA KWA SASA MASOMO YAMEMSHINDA HATIMAE KUWA TAPELI MKUBWA.NAWAOMBA WASANII AMBAO HAMJAJA EUROPE MSIKUBALI KUFANYA MIKATABA NA UYU JAMAA NIMEANDIKA MAJINA YAKE YOTE ILI ATA AKIBADILISHA MUMJUE NA PICHA HIYO NIMEWEKA AONEKANE KWA SURA.WATU WA BLOG MBALIMBALI NAOMBA MUTOE TAARIFA HII KWA KUWASAIDIA WASANII WETU WASIJEKUKUTANANAYO YALIOWAKUTA.MDAU HUSIKA AMSTERDAM HOLLAND.


No comments: