Sunday, February 12, 2012

Utafiti: Chanjo ya ukimwi yagundulika



Leon Bahati (Mwananchi)

UTAFITI wa hivi karibuni uliofanywa katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Johns Hopkins nchini Marekani, umegundua kuwa matumizi ya dawa za kurefusha maisha (ARV) yanaweza kuwafanya waathirika wa Virusi vya Ukimwi (VVU) kukutana kimwili na wapenzi wao bila kondomu, pasi kuwapa maambukizi. Wakati wataalamu hao wakifikia hatua hiyo muhimu katika kupata jibu la janga hilo lililoitesa dunia kwa miongo kadhaa sasa, kuna taarifa njema pia za kugunduliwa kwa chanjo mpya ya Ukimwi...


No comments: