Afisa misitu alikwenda kwenye shamba la
miti la jamaa kukagua, Jamaa akamwambia usiingie muda huu,Afisa akatoa
kitambulisho cha kazi akamwonyesha huku akimwambia "We nani wa kunizuia?
Niache nifanye kazi yangu" Jamaa akanywea akamfungulia gate. Baada ya muda
jamaa akamuona afisa misitu akifukuzwa na nyuki huku akipiga makelele
"Mama nakufa nisaidieni Nyuki wataniua" Jamaa akamwambia WAONYESHE
KITAMBULISHO BLAZA.
No comments:
Post a Comment