Thursday, March 22, 2012

Makamba na Zitto wanasemaje kuhusu OGP Tanzania?
Ni manufaa gani yatapatikana kwa Tanzania kujiunga na Mpango wa kuendesha shughuli za Serikali kwa Uwazi (OGP)? Wabunge Zitto Kabwe na January Makamba ni sehemu ya wachangiaji wa maoni hayo.

No comments: