Friday, April 27, 2012


FC Kilimanjaro ya Sweden
 

Timu ya mpira ya Watanzania waishio Sweden ya FC Kilimanjaro ambayo iko kwenye daraja la saba msimu huu 2012, inaendelea kuongoza kwenye ligi hiyo. Kwa ratiba ingia kwenye tovuti


Mdau,
Sweden. 

No comments: