Sunday, April 08, 2012

Mahojiano na mama KanumbaHabari zilizoenea inasemakana kuwa mtu aliehusika na kifo chake ni Lulu ambae alikuwa mpenzi wake, alikuwa bafuni alipotoka alimkuta mpenzi wake huyo Lulu akiwa anaongea na simu na Kanumba alikuwa anajiandaa kwenda Club, hapo kukawa na mzozo ambapo Lulu alimsukuma na kupelekea Kanumba kuanguka chini na kuumia vibaya kichwani hivyo kuwahishwa haraka Hospital ya Muhimbili.

No comments: