Thursday, April 05, 2012

Rais Jakaya Kikwete akutana na Balozi wa  U.A.E nchini Tanzania

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) Mhe.Mallallah Mubarak Alameri baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro). 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mhe.Mallallah Mubarak Alameri Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi

No comments: