Friday, April 06, 2012

Rais Jakaya Kikwete ateua tume ya mabadiliko ya katiba

Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Rais Jakaya Kikwete ametangaza Tume ya mabadiliko ya Katiba. Mwenyekiti ni Jaji Joseph Warioba na Makamu wake ni Jaji Augustino Ramadhani. Ina wajumbe 30 - katika mgawanyo wa nusu kwa nusu na Zanzibar- kwamba 15 kutoka Tanzania Bara na 15 kutoka Tanzania Visiwani. 

1. Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA- Mwenyekiti
2. Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino RAMADHANI- Makamu Mwenyekiti

WAJUMBE KUTOKA TANZANIA – BARA
1. Prof. Mwesiga L. BAREGU
2. Nd. Riziki Shahari MNGWALI
3. Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI
4. Nd. Richard Shadrack LYIMO
5. Nd. John J. NKOLO
6. Alhaj Said EL- MAAMRY
7. Nd. Jesca Sydney MKUCHU
8. Prof. Palamagamba J. KABUDI
9. Nd. Humphrey POLEPOLE
10. Nd. Yahya MSULWA
11. Nd. Esther P. MKWIZU
12. Nd. Maria Malingumu KASHONDA
13. Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb)
14. Nd. Mwantumu Jasmine MALALE
15. Nd. Joseph BUTIKU

WAJUMBE KUTOKA TANZANIA – ZANZIBAR
1. Dkt. Salim Ahmed SALIM
2. Nd. Fatma Said ALI
3. Nd. Omar Sheha MUSSA
4. Mhe. Raya Suleiman HAMAD
5. Nd. Awadh Ali SAID
6. Nd. Ussi Khamis HAJI
7. Nd. Salma MAOULIDI
8. Nd. Nassor Khamis MOHAMMED
9. Nd. Simai Mohamed SAID
10. Nd. Muhammed Yussuf MSHAMBA
11. Nd. Kibibi Mwinyi HASSAN
12. Nd. Suleiman Omar ALI
13. Nd. Salama Kombo AHMED
14. Nd. Abubakar Mohammed ALI
15. Nd. Ally Abdullah Ally SALEH

UONGOZI WA SEKRETARIETI
1. Nd. Assaa Ahmad RASHID- Katibu
2. Nd. Casmir Sumba KYUKI - Naibu Katibu

No comments: