Saturday, May 19, 2012

Dar es Salaam

Waziri wa biashara na viwanda amsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa TBS

Bw. Charles Ekelege.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda ameiagiza Bodi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kumsimamisha kazi Mkurugenzi wake Mkuu, Charles Ekelege. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam juzi, Dk Kigoda alisema Mkurugenzi huyo wa TBS anatakiwa kusimamishwa kazi ili kupisha taratibu za kisheria ikiwamo suala la uchunguzi dhidi yake kufanyika.....

Bofya na soma zaidi>>>> 

No comments: