Friday, May 11, 2012


Mwizi alitoroka jela usiku.

Polisi wakawa wanamfukuzia. Yule mwizi akakimibilia makaburini huku anavua nguo, akabaki uchi. Akakaa kwenye kaburi. Polisi walipokuja wakamuliza "je bwana umemuona mwizi akipita hapa? Akajibu "ah, mimi mwenyewe ndio kwanza nimezikwa jana napunga upepo, "labda muwaulize waliolala hapa. Askari walitoka mbio

No comments: