Friday, May 04, 2012

Rais Jakaya Kikwete atangaza orodha ya mawaziri na manaibu mawaziri
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanahabari wakati wa kutangaza Baraza la Mawaziri,Ikulu Jijini Dar es Salaam Jioni hii.


MAWAZIRI


1.            OFISI YA RAIS

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora) Ndugu George Mkuchika, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI) Ndugu Celina Kombani, Mb.,


2.            OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO) Ndugu Samia H.  Suluhu, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRADr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,


3.            OFISI  YA WAZIRI MKUU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri  Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) Ndugu Hawa Ghasia, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Ndugu William V. Lukuvi, Mb.,4.            WIZARA 

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika MasharikiNdugu Samuel J. Sitta, Mb.,

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,

Waziri wa Ujenzi Dr.  John P. Magufuli, Mb.,

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru J. Kawambwa, Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ndugu Sophia M. Simba, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Ndugu Bernard K. Membe, Mb.,

Waziri wa Katiba na Sheria Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Ndugu Emmanuel Nchimbi, Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dr. David M. David, Mb.,

Waziri wa Kazi na Ajira Ndugu Gaudentia M. Kabaka, Mb.,

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof.  Makame M. Mbarawa, Mb.,

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof.  Anna K. Tibaijuka, Mb.,

Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe,  Mb.,

Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum Prof. Mark Mwandosya, Mb.,

Waziri wa  Kilimo, Chakula na Ushirika Eng. Christopher Chiza, Mb.,

Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe, Mb.,

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fenella E. Mukangara, Mb.,

Waziri wa Maliasili na Utalii Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,

Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,

Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa, Mb.,

Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo, Mb.,


5.            NAIBU MAWAZIRI


 OFISI YA RAIS

HAKUNA NAIBU WAZIRI6.            OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais Ndugu Charles Kitwanga, Mb.,


7.            OFISI YA WAZIRI MKUU

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) Ndugu Majaliwa K. Majaliwa, Mb.,

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) Ndugu Aggrey Mwanry, Mb.,


8.            WIZARA MBALIMBALI

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dr. Makongoro M. Mahanga, Mb.,

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Ndugu Adam Malima, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Ndugu Pereira A. Silima, Mb.,

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Ndugu Gregory G. Teu, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Ndugu Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Ndugu Mahadhi J. Maalim, Mb.,

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo  ya Makazi, Ndugu Goodluck J. Ole-Medeye, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb.,

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Ndugu Philipo A. Mulugo, Mb.,

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb.,

Naibu Waziri wa Maliasili na UtaliiNdugu Lazaro Nyalandu, Mb.,

Naibu Waziri wa Ujenzi Ndugu Gerson Lwenge, Mb.,

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Seif Suleiman Rashid, Mb.,

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Ndugu George Simbachawene, Mb.,

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba, Mb.,

Naibu Waziri wa Uchukuzi Dr. Charles J. Tizeba, Mb.,

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na MichezoNdugu Amos Makala, Mb.,

Naibu Waziri wa Maji Eng. Dr. Binilith Mahenge, Mb.,

Naibu Waziri Nishati na Madini Ndugu Stephen Maselle, Mb.,

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Ndugu Angela Jasmine Kairuki, Mb.,

Naibu Waziri wa Fedha Ndugu Janet Mbene, Mb.,

Naibu Waziri wa Fedha Ndugu Saada Mkuya Salum, Mb.,


MAWAZIRI HAWA WATAAPISHWA JUMATATU MEI 7, 2012

No comments: