Wednesday, July 18, 2012


M.V. Skagit yazama ZanzibarHabari zilizopatikana ni kuwa meli ya M.V. Salama iliyokuwa ikitoka Dar es Salaam kuelekea Unguja imezama na inasadikiwa kuwa abiria wote waliokuwemo kwenye meli hiyo wamefariki dunia. Mpaka jana jioni watu 120 walikuwa hawajulikani walipo. Kulikuwa na watu wazima 250 na watoto 31 kwenye meli hiyo.

Chanzo: NTB, shirika la habari Norway.


No comments: