Tuesday, July 31, 2012

Mkutano wa wenyeji wa Bumbuli waishio
Dar es Salaam na Pwani


Ninapenda kuwaalika wenyeji wa Jimbo la Bumbuli waishio mikoa ya Dar es Salaam na Pwani katika mkutano utakaojadili maendeleo ya Jimbo letu la Bumbuli utakaofanyika siku ya Jumamosi tarehe 4, Agosti 2012 katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana. Ninaomba ukipata ujumbe huu uwataarifu Wanabumbuli wengine. Karibuni sana.

January Makamba
Mawasiliano: 
Simu: + 255 762 088 050 
Barua pepe: getinvolved@bumbuli.org

No comments: