Sunday, August 26, 2012

Hotuba ya Rais Kikwete kwa Watanzania kuhusu Sensa ya Taifa 2012


Ndugu wananchi;

Imekuwa ni mazoea yetu kuwa Rais huzungumza na taifa kila mwisho wa mwezi.  Lakini, leo nazungumza nanyi siku saba kabla ya mwisho wa mwezi kwa sababu maalum.  Sababu yenyewe si nyingine bali ni Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika kwa siku saba kuanzia kesho Jumapili tarehe 26 Agosti, 2012. Shabaha yangu ni kutaka kuwakumbusha Watanzania wenzangu wote kuhusu wajibu wao wa kujitokeza kuhesabiwa siku hizo.  Naomba kila mmoja wetu ahakikishe kuwa anakuwepo kuhesabiwa na kujibu maswali yote yatakayoulizwa na makarani wa sensa kwa ufasaha.

Ndugu wananchi;

Katika historia ya nchi yetu, Sensa ya mwaka huu itakuwa .....

Bofya na soma zaidi: Ikulu blog

No comments: