Friday, August 31, 2012Malawi yalegeza msimamo Nyasa


UJUMBE Tanzania ukiongozwa na mawaziri, Bernard Membe, wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Profesa Anna Tibaijuka, wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, umewachanganya Wamalawi kwa kutoa hoja zinazothibitisha utata wa mpaka kati ya Tanzania na Malawi katika eneo la Ziwa Nyasa, Raia Mwema limethibitisha.....The Malawians are saying: Malawi, Tanzania fail to agree on lake dispute: Next round of talks in SeptThe eight -day Malawi and Tanzania boarder diplomatic discussions that ended on Saturday in Lilongwe Capital City, was stalled, forcing the high-level government representatives to pursue, further, the misunderstanding from September 10, 2012 in Dar es Salaam,  Tanzania....


No comments: