Wednesday, August 15, 2012

RAIS KIKWETE AZINDUA AWAMU YA TATU YA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII (TASAF III) KATIKA UWANJA WA JAMHURI,MJINI DODOMA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilekea kukagua mabanda ya maonesho wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Mahusiano), Mhe Steven Wassira.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga wakati akikagua mabanda ya maonesho wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi tuzo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TASAF Dr Servacius Likwelile wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo. 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi kitabu cha uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue kwa niaba ya Rais wa Awamu ya Tatu Mhe Benjamin William Mkapa wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. Pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi. 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. Picha zote kutoka blogu ya Ikulu,  Dar es Salaam

Bofya na soma hotuba ya Rais Kikwete: http://ikulublog.com/ 

No comments: