Thursday, January 31, 2013

1. februar 2013 stopper salget av kupongkort. Bei mpya ya usafiri Oslo kuanzia Februari Mosi


Bei ya tiketi za usafiri kwa Oslo na Akershus zinabadilika. Pamoja na kubadilika kwa bei, pia tiketi za rejareja zinafutwa kuanzia Ijumaa, 1.Februari 2013. Wasafiri wanashauriwa kununua kadi (kama inavyoonekana kwenye hiyo picha hapo juu) ambazo mtu anaweza kuijaza tiketi rejareja, ya siku, ya wiki au ya mwezi kieletroniki.


Prisene i Oslo og Akershus justeres fra 1.februar 2013. Blant annet forenkles billettilbudet ved at vi kun tilbyr en type enkeltbillett (kr 30,-/15,-), med samme pris for en sone i hele Oslo og Akershus.No comments: