Sunday, February 24, 2013

Rais Kikwete ashiriki utiaji saini mjini Addis Ababa, Ethiopia mpango wa Umoja wa Mataifa wa amani, usalama na ushirikiano Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
MARAIS KUTOKA KUSHOTO: Denis Sassou Nguesso (Kongo Brazaville), Paul Kagame (Rwanda) na Armando Guebuza (Msumbiji)

MARAIS KUTOKA KUSHOTO: Joseph Kabila (Kongo Kinshasa, DRC), Denis Sassou Nguesso (Kongo Brazaville) na Paul Kagame (Rwanda)

MARAIS KUTOKA KUSHOTO: Denis Sassou Nguesso (Kongo Brazaville) na Paul Kagame (Rwanda)

Rais Jakaya Kikwete akipongezana na Waziri Mkuu wa Ethiopia, Bw. Hailemariam Desalegn baada ya uwekaji wa saini Jumapili 24. Februari 2013 kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia. Katikati ni katibu mkuu wa Umoja wa Afrika, Bi. Nkosazana Clarise Dlamini Zuma.

Rais Jakaya Kikwete akipongezana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. Ban Ki-Moon.

Picha na Ikulu.


No comments: