Wednesday, March 06, 2013

Waziri mkuu wa Denmark, Bi. Helle Thorning-Schmidt, ziarani nchini Tanzania


Bi.Helle Thorning-Schmidt, akikagua gwaride la wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). 

 Bi.Helle Thorning-Schmidt, akipokea shada la maua.

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na waziri Mkuu wa Denmark, Bi.Helle Thorning-Schmidt. 

No comments: