Tuesday, April 30, 2013

“Income Tax Return = ITR.”


Jumanne tarehe

30 Aprili 2013
ni siku ya mwisho

ya kurudisha:

Taarifa kuhusu mapato

yanayostahili kutozwa kodi

“Income Tax Return = ITR.”

Angalia vizuri mapato yako,

madeni yanayostahili

kuingizwa kwenye

hizo taarifa, n.k.

Linganisha na fomu ya

kodi ya mapato,

tulizotumiwa mwanzoni

mwa mwaka,

kabla hujarudisha “ITR”

Saa 5.59 usiku (23.59 CET),

ni saa ya mwisho ya

kurudisha ”ITR”.

Unaweza kuirudisha

kieletroniki.
Kama huna cha kuongeza, huhitaji kurudisha inakuwa ni automatiki. Lakini ni bora kuirudisha tu!

Angalia:au kwa SMS na. 02111 kama tayari una nywila
(koda) toka skatteetaten.

maelezo ya ziada wapigie
simu na. 800 80 000

Kila la heri!!!

No comments: