Thursday, May 23, 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza katika eneo la Kizota, Dodoma wakati wa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Dodoma kwenda Iringa, ambapo Rais Kikwete alisema wote waliohusika na vurugu za Mtwara watasakwa na kuchukuliwa hatua kali.
No comments: