Sunday, May 26, 2013

Rais JK amezindua mpango wa "Tekeleza Sasa"Rais Jakaya Kikwete amezindua mpango wa "Tekeleza sasa " kwa matokeo makubwa na kuwataka viongozi kutogeuza mpango huo kuwa ni mpango wa siri badala yake uwe wazi kwa kila mwananchi kwa lengo la kuweza kujua ni kwa namna gani mipango ya seriali imetekelezwa na kwa viongozi watakaoshindwa kufikia malengo watalazimika kujiondoa wenyewe.


No comments: