Wednesday, June 19, 2013

CCM yaishutumu Chadema kuwa ndio wanaohusika na mlipuko Arusha.


Wakati jeshi la polisi na vyombo mbalimbali vya usalama vikihaha kumtafuta mtu aliyerusha bomu katika mkutano wa kampeni huko Arusha chama cha mapinduzi CCM kimetoa tamko kuhusiana na tukio hilo na kukishutumu moja kwa moja chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kuwa wao ndio wanaohusika na tukio hilo.


No comments: