Sunday, June 09, 2013

Hafla ya kuwaaga wanafunzi wa Kitanzania waishio Oslo na miji ya jirani, iliyofanyika kwenye kanisa la Nordberg, Oslo Jumamosi 8.Juni 2013
Kutoka kushoto: Ndg. Hatibu Mgeja, Rais wa TASAO na Dr. Titus Sendeu Tenga, Mwenyekiti wa Chama Cha Watanzania Oslo. Dr.Tenga alikuwa mgeni rasmi na aliwatunuku wanafunzi vyeti vya kumaliza masomo yao. 


Ndg. Hatibu Mgeja, Rais wa TASAO (chama cha wanafunzi Oslo)1 comment:

jebunnesa arzu said...


I have enjoyed reading your articles. It is well written. It looks like you spend a large amount of time and effort in writing the blog. I am appreciating your effort. You can visit my site.
Property Events UK