Saturday, June 22, 2013

Mhadhara wa Prof. Shivji wabadili mtazamo wa wengi kuhusu muungano.


Rasimu ya katiba mpya kutoeleza mipaka ya kiutawala kwa pande mbili za Tanzania bara na Zanzibar na kuruhusu kila pande kuwa na uwezo wa kuunda jeshi la polisi kunaweza kusababisha migogoro ya kiutawala na kuvuruga amani.


No comments: