Sunday, June 30, 2013

"Watanzania Wasikwazike na Kufedheheka kwa Ulinzi Mkali wa Obama" - Mwanakijiji
Ulinzi mkali ambao tayari upo na utazidi kuonekana wakati wa Ujio wa Rais wa Marekani umewafanya baadhi ya Watanzania kujihisi wanadunishwa au kuabishwa. Wapo wengine ambao wanaona kuwa hatua mbalimbali za kiusalama zinazochukuliwa kumlinda Obama, Familia yake na ujumbe wake zinaonesha dharau na kutoaminiwa kwa vyombo vyetu vya ulinzi. Wengine wanafika mahali pa kuhisi kuwa Wamarekani wanatudharau sana kiasi kwamba wanatuchagulia nani aonene na Obama (rejea taarifa kwenye gazeti la Mwananchi la leo). Watanzania hawapaswi kujisikia hivyo hata kidogo....


Bofya na soma kuhusu: Idara maalumu inayomlinda Rais wa Marekani, makamo mwake n.k. “The United States Secret Service.” 


No comments: