Monday, July 01, 2013

President Barack Obama Holds Press Conference With Tanzania Leader; President Jakaya Mrisho Kikwetein in Dar es Salaam
Rais Barack Obama apokelewa na Rais Jakaya Kikwete
Rais Barack Obama akiwa na Malia, Sasha na Michelle Obama wakishuka kwenye Air Force One.

Rais Kikwete akisalimiana na Rais Obama


Rais Obama akikagua gwaride la heshima la askari wa JWTZ

Rais wa Zanzibar; Mohammed Shein akisalimiana na Rais Obama

Makamu wa Rais wa Zanzibar; Seif Iddi akisalimiana na Rais Obama

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama; Jenerali Davis Mwamunyange akipiga saluti kumsalimia Rais Obama


Rais Obama akidansi


Picha zote na Freddy Maro, Ikulu, Dar es Salaam: http://ikulublog.com/


No comments: