Thursday, November 21, 2013

Wachina wakamatwa kwa kufukia kiganja cha mfanyakazi aliyekatwa na mashine.Watu wawili raia wa China ambao ni viongozi wa kiwanda cha Urafiki plastick kinachotengeneza mifuko ya aina mbalimbali eneo la Mabibo jijini Dar es Salaam,wameshikiliwa na jeshi la polisi kwa kudaiwa kufukia kiganja cha mkono wa mfanyakazi wao uliokatwa na mashine za kiwanda hicho siku ya Jumapili usiku.

No comments: