Wednesday, February 26, 2014

Baadhi ya wananchi wa mji wa Dodoma, wametoa masikitiko yao kwa jinsi Bunge Maalum la Katiba linavyotumia muda wake vibaya, huku wajumbe wakijidhihirisha wamekwenda kutafuta fedha na siyo kutunga katiba ya nchi.
No comments: