Friday, February 21, 2014

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amewataka wajumbe wa bunge maalum la katiba kutambua kuwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba inawazuia wao kuunda mfumo wa serikali moja.
No comments: