Tuesday, March 18, 2014

"Muungano wa serikali mbili hauwezekani sasa. Muungano ambao tuliachiwa na waasisi wetu si huu. Waasisi walituachia nchi moja, serikali mbili. Hawakutuachia serikal mbili, nchi mbili. Msingi wa serikali mbili, nchi mbili. Ukiwa na nchii mbili, huwezi kukwepa kuwa na serikali tatu. Upande mmoja una hadhi na mamlaka, upande mwingine hauna hadhi na mamlaka. Huwezi kukwepa. Serikali tatu hazitateteresha Muungano. Kosa tunalofanya ni kudhani kuwa huu ni Muungano wa viongozi. Hapana. Ni Muungano wa wananchi, si viongozi" - Jaji Joseph Sinda Warioba, 18.Machi 2014



Bofya na uisome:

No comments: