Saturday, March 29, 2014

It´s that time of the year again! From Wintertime to Summertime. Time conversion date Sunday 30th March 2014. Adjust the time from 02:00 to 03:00 Central European Time (CET)Kuamkia Jumapili, 30.Machi 2014 hapa Norway na nchi za Ulaya Magharibi tunabadili majira, kutoka ya theluji kuingia ya Kiangazi. Kutokana na mabadiliko ya majira, tunasogeza saa moja mbele. Saa 8 za usiku hadi saa 9 za usiku. Tutapishana saa moja na saa za Afrika Mashariki 
(EAT = East African Time). 


Mfano: Ikiwa CET ni saa 6 mchana, EAT ni saa 7 mchana.


No comments: