Tuesday, April 15, 2014

Bunge Maalum la Katiba linatarajiwa kuahirishwa Ijumaa ijayo, kabla ya maazimisho ya Miaka 50 ya Muungano hapo Aprili 26. Mwenyekiti wa Bunge hilo Samuel Sitta amesema kuwa April 25 itakuwa siku ya mwisho ya majadiliano, kwa ng´ we ya kwanza.
No comments: