Saturday, April 26, 2014

Kingunge Ngombale Mwiru - Wajumbe wa Bunge Maalum wameaswa kuacha kumsakama aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba na timu yake, kwani maoni alowasilisha si yake, bali ni ya wananchi.
No comments: