Wednesday, April 23, 2014

Aliyoyasema kanisani William Lukuvi; Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Mipango) - Sijui kama anajua kitu alichokisema! Baadhi ya aliyoyasema ni uongo na ya uchochezi wa kuligawa taifa
No comments: