Monday, June 23, 2014

Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Haika Lawere. Haika bi Mkurugenzi Mtendaji wa Mbezi Garden Hotel ya Dar Es Salaam Tanzania.Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Haika Lawere.
Haika bi Mkurugenzi Mtendaji wa Mbezi Garden Hotel ya Dar Es Salaam Tanzania.
Amezungumzia mengi kuhusu maisha yake, kazi yake, changamoto anazokumbana nazo katika kazi, ziaa yake hapa Marekani na hata ushauri wake kwa wasikilizaji

No comments: